James
Milner wa Manchester City (kulia) akishangilia bao lake la kwanza dhidi
ya Arsenal katika mchezo wao uliopigwa kwenye Uwanja wa Emirates jijini
London leo. Man City wameshinda 2-0. Kushoto ni Lukas Podolski wa
Arsenal.
Edin Dzeko wa Manchester City akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili na kufanya matokeo kuwa 2-0.
Jack
Wilshere wa Arsenal (kushoto) akijaribu kumtoka David Silva wa
Manchester City wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa Man City kuibuka
kidedea kwa bao 2-0.
(PICHA KWA HISANI YA EPA NA REUTERS)