Nahodha Himid Mao wa Azam FC akikabidhiwa Kombe la Mapinduzi 2013 jana.
Manahodha wa Azam FC, Jabir Aziz (kushoto) na Himid Mao wakinyanyua kombe lao.
Baadhi ya wachezaji wa Azam FC wakisubiri kuvishwa medali. Nahodha Himid Mao akionyesha zawadi ya fedha za Kombe la Mapinduzi 2013.
TIMU ya Azam jana imetwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Tusker
FC ya Kenya bao 2-1 katika fainali iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan,
Zinzibar. Magoli ya Azam FC yalifungwa na Jockins Atudo na Gaudence
Mwaikimba. PICHA ZOTE NAwww.facebook.com/azamfc