skip to main |
skip to sidebar

11:43 PM

Anonymous

BAADA ya tuhuma za hivi karibuni zinazomkabili baunsa wa msanii Dully Sykes , anayefahamika kama Arafat Ngumi Jiwe, za kumfanyia majamboz
"kumlawiti" mtoto, sasa msanii huyo ameamua kuwaambia mashabiki wake
kuwa amestushwa na ishu hiyo kwani alikuwa hajui kama jamaa ana tabia
hiyo chafu hivyo anawasihi watanzania wote kujua kwamba hajui lolote juu
ya hilo na kwa sasa hawezi kuendelea kufanya naye kazi ili kujitoa
kwenye ishu hiyo chafu.
Tuhuma za baunsa huyo kumlawiti mtoto zinaweza kuwa na picha mbaya kwa
msanii huyo kwani watu wamemfahamu bausa huyo kupitia Dully, hivi sasa
anatafuta mtu mwingine ambaye anaweza kuchukua nafasi hiyo.