SIR NATURE NDIYE MFALME WA TEMEKE.

Mashabiki waliofurika katika ukumbi wa maraha wa Dar Live wakilipuka kwa shangwe kumkubali msanii Juma Nature 'Sir Nature' kuwa ndiye mfalme wa Temeke wakati wa show ya TMK HALISI VS TMK FAMILY usiku wa kuamkia leo.


Twitter Delicious Facebook Digg Favorites More