VIUNO
alivyokatika staa maarufu wa filamu, Jacqueline Wolper viliwachengua ile
mbaya watu waliohudhuria harusi ya wasanii maarufu wa Bongo Movies, Jimmy
Mafufu na Idrissa Makupa ‘Kupa’.
Baada ya kuonesha vitu adimu ambavyo havikuoneshwa na staa yeyote kati ya waliomtangulia, wageni waalikwa walishangilia na kupiga makofi hadi aliporejea sehemu aliyokaa awali.