skip to main |
skip to sidebar

4:52 PM

Anonymous
Salaamu wana Udaku ,nakuja na wazo lingine likitaka ushauri wenu wa
kina. Je ni ipi sifa nzuri zaida ya zote kwa mwanamke wa kuoa, je ni
mwenye sura nzuri na maumbile yenye mvuto au ni mwenye tabia nzuri hata
kama hana maumbile yenye mvuto?
udaku