Leo ni siku ya nne ya safari ya Lady Jaydee na mume wake Gadner
kuupanda Mlima Kilimanjaro. Kwa mujibu wa picha kutoka kwenye blog ya
kilidovetour wanaiongoza safari hiyo, wote wanaonekana kuwa ngangari
wasiokuwa na hata chembe moja ya kurudi nyuma.
Safari bado!
Iron lady!!
Gadner.
Hakuna kurudi nyuma.
Jide, Gadner na mpiga picha wao.
Bado tupo poa!!!
Gadner na Jide wakipumzika kidogo kupata hewa.
Maendeleo ya safari yao:
January 8 – Mandara Hut(2700m) – Horombo Hut(3720m)
Masaa ya kutembea: 5
January 9: Acclimatization Day at Horombo Hut
Masaa ya kutembea: 4
January 10: Horombo Hut(3720m) – Kibo Hut(4703m)
Masaa ya kutembea: 5
Baadaye leo waanza safari ya kuelekea Uhuru Peak(5895m) kupitia Gillman’s point(5685m)
Hali zao kiafya
Gadner, Lady Jaydee na mpiga picha wao Justin wako fit na wana uwezo wa kuendelea hadi kituo kinachofuata.
LADY JAYDEE AENDELEA VYEMA NA SAFARI YA KUUPANDA MLMA KILIMANJARO...

