Tulidhani beef kati ya Weusi na Nikki Mbishi imeisha kumbe ndio kama
inaanza upya tena! Kupitia mtandao wa Twitter leo, Nikki wa Pili na
Nikki Mbishi ambao wote wanasifika kwa uandishi mkali wa mashairi ya Hip
Hop wametupiana vijembe vya kizushi.
Alianza Nikki wa Pili aliyeandika:
Nikki Mbishi alijibu:
Baada ya mlolongo mrefu wa vijembe kutoka kwa Mbishi hii ni miongini mwa tweet inayoonekana kuwaendea tena Weusi:
Mi nikimchana mtu namtaja jina ila wao wakimchana mtu wanazunguka
vichakani kutwa nzima…hahahhaa…waoga bwana..am off the hook yow..
NIKKI MBISHI NA NIKKI WA PILI WATIBUANA TENA....

