Hili ninaloliandika limemtokea jirani yangu, ambaye pia tuna mahusiano
ya kiofisi zaidi - niliwafanyia kazi fulani ofisini kwao hivyo tukajenga
mawasiliano ya kikazi, na kwa vile ni majirani basi kukawa na kaukaribu
fulani hivi.
Juzi nikapata taarifa kwamba amelazwa hospitali anaumwa. Kiungwana
nikaenda kumjulia hali hospitali; si nikamuuliza nini kinamsumbua, lol
alichonijibu ndiyo kilichosababisha nianzishe huu uzi.
Siku ya tukio bidada aliondoka asubuhi kwenda kazini kama kawaida yake,
huwa anawahi kutoka kabla ya mumewe ambaye ofisi yake ipo karibu zaidi
na nyumbani. Muda wa saa nane hivi akalazimika kurudi nyumbani kwa kuwa
alikuwa hajisikii vizuri akahitaji kupumzika (kawaida hutoka kazini saa
11 na kufika home around saa 12). Anasema alipokaribia mlango wa mbele
wa nyumba yao akawa anasikia sauti za miguno ambazo si za kawaida,
akaingia kupitia jikoni, akamuuliza housegirl ni nini hicho nakisikia,
binti anamtolea macho tu bila kumjibu. Kumbe binti alikuwa anajua
kinachoendelea ila akashindwa amwambieje boss wake!
Kuingia chumbani alichokikuta hakukiamini, anamwona mumewe ameinamishwa analawitiwa na
rafiki wa mumewe ambaye anamfahamu vizuri na kumheshimu kama shemeji!
Akazirai hapohapo, kushtuka ndio anajikuta yupo hospitali.
Huyu dada yupo kwenye ndoa na mumewe kwa miaka tisa sasa na wana watoto
wawili. Anasema hakuwahi hata kuhisi kama mumewe ni shoga. Hana hamu
tena kuendelea na ndoa.
Ushauri wenu wana MMU tafadhali dada afanyeje? Ndio ameshamkuta mumewe
akiliwa na mwanaume mwingine, tena chumbani kwao, juu ya kitanda chao
anacholala yeye na mumewe! Tena mume mtu ndio kanogewa na anatoa miguno
na sauti za mahaba!
SAKATA LA MKE ALIYEMNASA MUMEWE AKILAWITIWA CHUMBANI!!

