wananchi wakiwazonga na kuwapa kichapo.
Nitukio
la kusikitisha sana..kama unavyoona ni mwanaume
mwenye mke na watoto akiwa amefumwa akivunja amri ya sita na mwanamke mwenye
familia na watoto....
WAZINZI WAKIPELEKWA POLISI.
Wananchi wenye hasira kali walipa kichapo kikali ili liwe fundisho kwa wengine hapo mtaani.....