WEMA SEPETU siku ya Leo mchana anatakuwa live akitangaza....
Hii itakuwa ni
Mara Ya kwanza kwa Wema sepetu kuwasha kipaza sauti na kuendesha show Ya
redio kwa masaa mawili...
Maybe hii itakuwa ni mwanzo wa sauti yake
kusikika redioni.... Hebu tune to Choice Fm today 102.6 Fm ili toe kama Anaiweza hii kazi.
WEMA SEPETU APEWA SHAVU LA KUENDESHA TOP 20 YA CHOICE FM

