MATUSI YA HUDAH KWENDA KWA PREZOO.....KWELI KUACHWA KUNAUMA.... HII NI BAADA YA PREZZO KUPOST PICHA AKIWA NA MPENZI MPYA


Baada ya Prezzo kupost picha akiwa na mpenzi wake mpya na kuandika Maneno haya kwenye Twitter "Funny how sme past dnt wanna be tense......welcome 2 my future " Huddah monroe Ameibuka na kumponda Prezzo akisema si chochote na hana hela kwani bado anaishi kwa mama yake na kutegemea hela za mama ake...na akiendelea atamwaibisha......

Hivi Ndivyo Huddah Alivyo andika.





By prezzo254
Funny how sme past dnt wanna be tense......welcome 2 my future@chaggabarbie #MySize


Twitter Delicious Facebook Digg Favorites More