
Katika pita pita zangu wale wadada
wanajidai wana misimamo wanapozalishwa na wanaume na kuachwa alone huwa
wanashuka chini na inakuwa rahisi kupiga sound ya kawaida na kuchukua mzigo ila
kipindi kabla ilikuwa hata kusalimia watu ni tabu kwake.Najiuliza kwa nini
hulainika na kuwa na heshima pindi wanapobaki wenyewe baada ya kuzalishwa?