skip to main |
skip to sidebar

2:30 PM

Anonymous
Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni.
Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji
anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na maumbile, au
analika pande zote tetesi hizi zimeleta mchanganyiko kidogo kwenye
urembo huu.
Watu wengine wamediriki hata kukataza kabisa wapenzi wao wasivae urembo
huo, mimi binafsi siwezi kuongozana na mtu amevaa kitu kama hicho. Haya
sasa kazi kwako mdau, wewe unaonaje ni sawa urembo huo kutumika, na je
mwenza wako akivaa urembo huo, utaafiki..!!?