skip to main |
skip to sidebar

9:05 PM

Anonymous
Nimemkamata mke wangu na jamaa halafu ananiambia ndiye aliyemtoa bikira
eti huwa hamsahau kila wakikutana huwa anampa. Jamani kuna haki
hapo kweli....Kwani wanawake wote ndo wako hivyo ? wanapokutana na walio
watoa bikira wananywea kama mbwa kaona Chatu...Ama mchaga wa kishimuda
na we niagushe tuuuu...? Naomba ushauri jamani.