MTOTO
mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amesema japokuwa ni mjamzito
lakini bado ana kasi zaidi katika kufanya kazi zake za filamu.
“Mimi mzigo hapa naendelea kama kawaida wala mimba siyo kigezo cha kusubirisha mambo yangu, kwanza naona ndiyo imenipa nguvu ya kufanya kazi zangu, nimekamilisha tayari kazi mpya, naiachia March 28 inaitwa Jicho Langu,” alisema