SNURA ASEMA YEYE SIYO MSHIRIKINA KABISA

MAMA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa katika maisha yake, hahusudu masuala ya kishirikina.
Snura Mushi 'Mamaa Majanga'.
Akizungumza na paparazi wetu baada ya kuvuja kwa picha zilizomuonesha akiwa kwa mganga, Snura alisema hazikuwa kwa mganga wa kweli kwani yeye haamani mambo ya kishirikina.
“Mimi na ushirikina ni vitu viwili tofauti, namtegemea zaidi Mungu katika maisha yangu, hata hizo picha zilizovuja sikuwa kwa mganga wa kweli bali ilikuwa naigiza filamu,” alisema Snura.


Twitter Delicious Facebook Digg Favorites More