IRINE UWOYA KAMA KAWAIDA YAKE, ATUPIA PICHA NYINGINE TATA, FULL MITEGO

...


HAKIKA HIZI PICHA ZA DIVA WA CLOUDS FM NI FULL MITEGO,,,, CHEKI HAPA

Habari za weekend wadau, pamoja na mipasho ya habari mbalimbali za kisiasa na matukio ya hapa na pale, si mbaya pia tukiangalia na upande wa pili wa shilingi, nikiwa na maana ya udaku na burudani…. Inawezekana ukawa hupendi udaku, lakini naamini kuna wanaopenda, hivyo si vizuri kuwakatili… Hapo chini kuna picha kadhaa za muonekano wa mwanadada Loveness Diva, mrembo ambaye amewahi wafanya akina dada wa Kenya wamchukie baada ya kumnasa kimapenzi msanii maarufu Nchini Kenya maarufu ka jina la Prezzo… ...


MISS TANGA ATAKA KUZICHAPA KISA ALI KIBA

MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba. Miss Tanga 2011, Zubeida Seif. Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah  kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku mwenzake akimpinga ndipo mtiti ulipoibuka. Mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba. “Wewe umezidi, unataka kusikilizwa wewe wakati ukweli unajulikana, acha hizo, ngoja nikuoneshe,” alisikika miss huyo ambaye sasa anatamba...


SHILOLE LIVE CHUMBANI

KABANG! Picha za staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’ zinazomuonesha live akiwa chumbani tena kitandani kimahaba na mwandani wake, Nuh Mziwanda zimevuja, Risasi Jumammosi linazo kwenye makabrasha yake. Staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Shilole, picha hizo walijipiga wenyewe wakiwa kitandani nyumbani kwa mwanadada huyo, Kinondoni jijini Dar. Chanzo hicho kilidai kwamba picha hizo walijipiga baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani kabla ya hapo wasingefanya hivyo. Katika picha hizo zinazowaonesha wawili...


DIAMOND: SITAOA KAMWE

Kutoka moyoni? Wakati bimkubwa Wema Isaac Sepetu akijiaminisha na kuhisi kuwa amepata mume ambaye ni baba bora, mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kuwa kamwe hafikirii kuoa, Ijumaa lina cha kukuhabarisha. Wema Isaac Sepetu akiwa kwenye pozi la kimahaba na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Kauli hiyo ya Diamond inakuja wiki kadhaa baada ya Wema kuonekana na pete ya ndoa kidoleni kisha kukiri kuvishwa na ‘kichaa’ huyo wa Bongo Fleva ambaye amerejea kutoka Marekani alikotwaa Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki zilizokwenda kwa jina la African Muzik Magazine (AFRIMMA) 2014. Hofu ya kuoa Akizungumza...


MASTAA WARUDI KWENYE VIVAZI VYA KIMTEGO

Ndani ya mwezi mtukufu mastaa wengi walionekana kuvaa kiheshima huku wakijisitiri sehemu zao nyeti lakini cha ajabu mara baada ya mfungo, baadhi wamerejea mavazi yao ya kimitego. Video queen Agnes Masogange akipozi. Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa mara baada ya Sikukuu ya Idd kupita umebaini baadhi wamerejea kwenye mavazi yao ya kihasara, mazingira yanayoashiria kuwa, walihamia kwenye mavazi ya kiheshima kinafiki. Mrembo aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’. Akizungumza na Ijumaa baada ya kumuona Wema Sepetu kwenye Uwanja wa Ndege wa Julias Nyerere akiwa amevaa taiti nyekundu iliyobana makalio...


BINTI ANASWA UCHOCHORONI AKIWANA NJEMA NA KUMWAGIWA MAJI YA MOTO

HILI kweli ni sekeseke la Idd el Fitr. Wakati changudoa mmoja akinaswa na kumwagiwa maji na wananchi waliochoshwa na vitendo vya ukahaba vinavyofanywa jirani na makazi yao, msichana mwingine aliokotwa akiwa amelewa chakari na kudhaniwa kuwa na mapepo, maeneo ya Sinza Afrikasana jijini Dar Jumanne hii. changudoa anaswa na njemba na kumwagiwa maji ya moto. Katika tukio la kwanza lililotokea Idd Mosi, wakazi wa maeneo ya Afrikasana, waliamua kuweka mtego na kumnasa changudoa aliyekutwa na mteja wake wakimaliza haja zao uchochoroni, wakiwa wametandika boksi chini. “Yaani tumechoshwa na hawa machangudoa, inafikia hatua tunashindwa kulala...


NJEMBA KIBAO ZAGOMBEA KUMUOA JOKATE

Baada ya hivi karibuni mwanamitindo Jokate Mwegelo kutangaza kutafuta mchumba, idadi kubwa ya wanaume wamekuwa wakihaha kusaka mawasiliano naye huku kila mmoja akijinadi kivyake. Mwanamitindo Jokate Mwegelo. Mara baada ya habari ya Jokate ya kutafuta mchumba kutoka kwenye gazeti hili wiki iliyopita, namba ya simu ya chumba chetu cha habari imekuwa bize kupokea simu za wanaume mbalimbali wakiomba kuunganishwa na mrembo huyo. Hata hivyo, jitihada za kumuunganisha mmoja mmoja kwa mrembo huyo hazikufanyika ila kwa yoyote anayehisi ana vigezo na ana nia ya dhati ya kumuoa na si kumchezea afike katika ofisi zetu nasi tutamuelekeza njia sahihi...


TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO

Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ amekutwa na mauzauza baada ya kupokea simu yenye namba zinazodaiwa kuwa za ajabu na kumsababishia atokwe damu puani, mdomoni na kupooza upande mmoja. Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ akiwa katika Hospitali ya Palestina. Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo ambacho kilikuwa ndani ya Hospitali ya Palestina ambako Tunda Man alilazwa, kimeeleza kuwa, tukio hilo lilitokea mwanzoni mwa wiki hii wakati staa huyo akifuturu. “Alipigiwa na namba f’lani hivi ya ajabuajabu inayoishia na 39 kama mara 30 hivi, hakuipokea maana alishawahi kusikia...


PATI YA KOGODORO NOMAAAAA!

#Lol this so embarrassing,jut look yourself to this picture the guy decided to suck her live live.... is it sound good ?? #lol this so embarrassing,jut look yourself to this picture the guy decided to suck her ...


Pages 381234 »
Twitter Delicious Facebook Digg Favorites More