IRINE UWOYA KAMA KAWAIDA YAKE, ATUPIA PICHA NYINGINE TATA, FULL MITEGO



HAKIKA HIZI PICHA ZA DIVA WA CLOUDS FM NI FULL MITEGO,,,, CHEKI HAPA





Habari za weekend wadau, pamoja na mipasho ya habari mbalimbali za kisiasa na matukio ya hapa na pale, si mbaya pia tukiangalia na upande wa pili wa shilingi, nikiwa na maana ya udaku na burudani….


Inawezekana ukawa hupendi udaku, lakini naamini kuna wanaopenda, hivyo si vizuri kuwakatili…
Hapo chini kuna picha kadhaa za muonekano wa mwanadada Loveness Diva, mrembo ambaye amewahi

wafanya akina dada wa Kenya wamchukie baada ya kumnasa kimapenzi msanii maarufu Nchini Kenya maarufu ka jina la Prezzo…


MISS TANGA ATAKA KUZICHAPA KISA ALI KIBA

MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba.
Miss Tanga 2011, Zubeida Seif.
Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah  kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku mwenzake akimpinga ndipo mtiti ulipoibuka.
Mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba.
“Wewe umezidi, unataka kusikilizwa wewe wakati ukweli unajulikana, acha hizo, ngoja nikuoneshe,” alisikika miss huyo ambaye sasa anatamba na wimbo wa Zaidi ya Wale.
Bahati nzuri watu waliokuwepo eneo hilo waliwaamulia, wakatulia.


SHILOLE LIVE CHUMBANI

KABANG! Picha za staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’ zinazomuonesha live akiwa chumbani tena kitandani kimahaba na mwandani wake, Nuh Mziwanda zimevuja, Risasi Jumammosi linazo kwenye makabrasha yake.
Staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Shilole, picha hizo walijipiga wenyewe wakiwa kitandani nyumbani kwa mwanadada huyo, Kinondoni jijini Dar.
Chanzo hicho kilidai kwamba picha hizo walijipiga baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani kabla ya hapo wasingefanya hivyo.
Katika picha hizo zinazowaonesha wawili hao wakiwa katika mahaba niue, Shilole anaonekana akiwa amemlalia Mziwanda ambaye naye amejiachia vya kutosha.
‘Shilole’ akipozi kimahaba na mwandani wake, Nuh Mziwanda.
Habari za ndani zinadai kwamba mmoja wa watu wa karibu alishika simu ya Shilole kisha akajifowadia picha hizo ndiyo chanzo cha kumfikia sosi wetu huyo.
Baada ya kuzidaka picha hizo, gazeti hili lilimtafuta Shilole ambaye kwa sasa anakimbiza na ngoma yake mpya ya Namchukua ambapo alipopatikana kwa njia ya simu alisomewa mashitaka yake ndipo akafunguka namna alivyochezewa na mtu wa karibu yake.
‘Shilole’akiendelea kula ujana na mpenzi wake.
kimahaba na mwandani wake, Nuh Mziwanda“Kweli hizo picha ni zangu na Nuh (Mziwanda), tulijipiga kwa ajili ya kumbukumbu na tulikuwa na muda mrefu hatujiachia si unajua tena Mwezi Mtukufu?
“Unajua simu yangu haina password na nina watu wengi wa karibu so nahisi ndiyo wamezivujisha na nikimjua namtoa kabisa kwenye network yangu maana siku nyingine anaweza kunifanyia jambo kubwa baya.”
Mbali na hilo, Shilole amesema yupo kwenye mazoezi ya kufa mtu akitamba kwamba atamkimbiza vilivyo staa wa Nigeria, Yemi Alade watakapokutana jukwaa moja kwa ajili ya shoo kubwa kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini, Agosti 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.


DIAMOND: SITAOA KAMWE

Kutoka moyoni? Wakati bimkubwa Wema Isaac Sepetu akijiaminisha na kuhisi kuwa amepata mume ambaye ni baba bora, mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kuwa kamwe hafikirii kuoa, Ijumaa lina cha kukuhabarisha.
Wema Isaac Sepetu akiwa kwenye pozi la kimahaba na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
Kauli hiyo ya Diamond inakuja wiki kadhaa baada ya Wema kuonekana na pete ya ndoa kidoleni kisha kukiri kuvishwa na ‘kichaa’ huyo wa Bongo Fleva ambaye amerejea kutoka Marekani alikotwaa Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki zilizokwenda kwa jina la African Muzik Magazine (AFRIMMA) 2014.
Hofu ya kuoa
Akizungumza na gazeti hili kwenye mahojiano maalum, Diamond alisema kuwa anahofia kuoa kwa madai kwamba akifanya hivyo anaweza kuanguka kimuziki kitu ambacho hataki kimtokee maishani mwake.

Kumbe!
Jamaa huyo ambaye siku hizi anajiita Dangote (jina la tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote) alitiririka kuwa zamani alikuwa na wazo hilo la kuoa lakini akiwatazama wanamuziki wenzake waliooa mwisho wa siku, makali yao hupungua na wengine kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki.

Bofya hapa kumsikia Diamond
“Unajua unaweza kuona kama vile nazungumza kitu cha utani lakini ndiyo ukweli wenyewe.
“Kuna wanamuziki wengi walikuwa kwenye peak (kileleni) lakini walipooa tu ‘kiki’ yao ilishuka ghafla katika muziki na wengine wamepotea kabisa.

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’.
“Ukifuatilia kwa umakini wapo mastaa wengi duniani ambao umri umekwenda sana lakini hawajaoa. Hata hapa nyumbani kuna mifano hai. Nadhani hofu yao ni kuona kuwa wakifanya hivyo watashuka kimuziki,” alisema Diamond.
Ni kweli kamvisha pete Wema?
Alipoulizwa kama ni kweli amemvisha pete ya uchumba Wema, msanii huyo hakuwa tayari kufafanua kwa kigezo kwamba pete ni urembo kama urembo mwingine kwa mwanamke.

Nje ya boksi
Baada ya kusikia msimamo wa Diamond, gazeti hili lilijiongeza na kutoka nje ya boksi ambapo lilizungumza na baadhi ya wasanii waliooa na wasiooa ambapo walieleza mambo mazito.

Jacqueline Wolper
Siri yafichuka
Katika mazungumzo yao kwa sharti la kutochorwa gazetini, wasanii hao walidai kwamba Diamond anahofia kupoteza kiki kwa warembo ambao wengi ndiyo mashabiki wake wanaoamini nao wanaweza kupata zali la kuolewa naye ndiyo maana humzingira na kumuomba namba ya simu kila anakokwenda.
Msururu wa mademu

Ilielezwa kwamba kwa kuwa jamaa huyo hupenda kuwa juu ndiyo maana alisharipotiwa kutoka na msururu wa wanawake mastaa ambao huchangia jina lake kuendelea kuwa juu.
Ilidaiwa kwamba wakati anatafuta namna ya kuchomoka kimuziki alidaiwa kutoka kimapenzi na warembo waliokuwa na majina madogo kama Rehema Fabian aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Miss Kiswahili.

Jokate Mwegelo.
Ilisemekana kwamba baada ya hapo alidaiwa kuwa na msururu wa wanawake mastaa kama waigizaji Jacqueline Wolper Massawe na Aunt Ezekiel Grayson na Jokate Mwegelo.
Baadaye jamaa huyo alidaiwa kuruka na wasichana ambao hawakuwa na kiki hivyo aliwamwaga ndani ya muda mfupi kama Najma na Natasha.

Baadaye Diamond alitua kwa Wema hadi akafikia hatua ya kumvisha pete ya uchumba mwaka 2012 ndani ya Ukumbi wa New Maisha uliopo Masaki jijini Dar.
Kumbukumbu zinaonesha kwamba muda mfupi baada ya kumvisha Wema pete ya uchumba walimwagana ambapo Diamond alitua kwa Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’.

Irine Uwoya
Diamond hakudumu na Penny kwa madai kwamba mrembo huyo hakuwa na kiki kama ilivyokuwa kwa Wema ambaye jina lake halijawahi kushuka tangu alipovaa Krauni ya Miss Tanzania 2006/07.
Ilisemekana kwamba hata tuzo zilipungua ndipo akampiga Penny chini na kurudi kwa Wema ambaye inasemekana ndiye anayemng’arisha.

Hawa wameoa, je, wameshuka?
Baadhi ya mastaa waliooa ni pamoja na Mohamed Ahmed ‘Z-Anto’, Nurdin Bilal ‘Shetta’, Amini Mwinyimkuu, Lawrence Marima ‘Marlaw’, Amani Temba ‘Mheshimiwa Temba’ na wengineo.


MASTAA WARUDI KWENYE VIVAZI VYA KIMTEGO

Ndani ya mwezi mtukufu mastaa wengi walionekana kuvaa kiheshima huku wakijisitiri sehemu zao nyeti lakini cha ajabu mara baada ya mfungo, baadhi wamerejea mavazi yao ya kimitego.
Video queen Agnes Masogange akipozi.
Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa mara baada ya Sikukuu ya Idd kupita umebaini baadhi wamerejea kwenye mavazi yao ya kihasara, mazingira yanayoashiria kuwa, walihamia kwenye mavazi ya kiheshima kinafiki.
Mrembo aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’.
Akizungumza na Ijumaa baada ya kumuona Wema Sepetu kwenye Uwanja wa Ndege wa Julias Nyerere akiwa amevaa taiti nyekundu iliyobana makalio yake, mdau mmoja aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema:
Staa wa Filamu Bongo, Wema Sepetu akipozi na Ommy Dimpoz.
“Dah! Mwezi umeisha sasa tutakoma kwa mavazi ya kihasara, Wema alikuwa akijisiri sana ndani ya mwezi mtukufu lakini alivyovaa leo, daah.”


BINTI ANASWA UCHOCHORONI AKIWANA NJEMA NA KUMWAGIWA MAJI YA MOTO

HILI kweli ni sekeseke la Idd el Fitr. Wakati changudoa mmoja akinaswa na kumwagiwa maji na wananchi waliochoshwa na vitendo vya ukahaba vinavyofanywa jirani na makazi yao, msichana mwingine aliokotwa akiwa amelewa chakari na kudhaniwa kuwa na mapepo, maeneo ya Sinza Afrikasana jijini Dar Jumanne hii.
changudoa anaswa na njemba na kumwagiwa maji ya moto.
Katika tukio la kwanza lililotokea Idd Mosi, wakazi wa maeneo ya Afrikasana, waliamua kuweka mtego na kumnasa changudoa aliyekutwa na mteja wake wakimaliza haja zao uchochoroni, wakiwa wametandika boksi chini.
“Yaani tumechoshwa na hawa machangudoa, inafikia hatua tunashindwa kulala kwa sababu ya miguno yao ya kimapenzi, hata watoto wanashtuka usingizini kwa sababu ya mambo hayo, ni hatari kwani wanaweza kujifunza ufuska, tumeamua kuwanasa leo jamani na itakuwa fundisho kwao,” alilalamika mmoja wa majirani hao.
Huku timu ya Operesheni Fichuo Maovu (OFM) ya Global Publishers ikiwa ‘beneti’ na majirani hao, ilishuhudia wawili hao wakikamatwa na kupewa adhabu ya kulowanishwa kwa maji ya moto ambapo nguo zao zililoa chapachapa.
Wakati changudoa huyo akipewa adhabu hiyo ili liwe fundisho kwa wenzake wanaokesha pembezoni mwa barabara ya Shekilango, msichana mwingine anayedhaniwa kuwa alilewa kupita kiasi, alikutwa akiwa amezungukwa na watu nje ya baa maarufu ya Corner.Changudoa huyo akijuta baada ya tukio hilo.
Kundi kubwa la watu lilimzunguka mwanamke huyo kutokana na vitendo vyake kuashiria alikuwa amelewa bwii, wengine wakiamini alikuwa na mapepo hivyo kutaka kujua namna ya kumsaidia.
“Huyu dada jamani itakuwa majini yake tu yanamsumbua, si unajua watu wengine majini yao hayapendezwi na ulevi uliozidi kiwango, maana mtu mwenyewe haeleweki, tukimshika kumsaidia anataka kuturukia sasa sijui tufanyaje,” alisikika kijana mmoja akisema.
Hata hivyo, baadhi ya vijana waliokuwa eneo hilo walionekana kupanga mbinu za kumchukuwa msichana huyo na kwenda kumfanyizia, kitu kilichoshtukiwa na mabaunsa wa baa hiyo ambao walimpandisha kwenye Bajaj na kumkimbiza Kituo cha Polisi Mabatini ambako baada ya askari kuwasikiliza, walishauri apelekwe hospitalini.Binti anusurika kubakwa baada ya kulewa chakali.
Alipelekwa Hospitali ya Palestina ambako baada ya kupimwa, alionekana kunywa pombe kali kupindukia, hivyo kuwekewa dripu.


NJEMBA KIBAO ZAGOMBEA KUMUOA JOKATE

Baada ya hivi karibuni mwanamitindo Jokate Mwegelo kutangaza kutafuta mchumba, idadi kubwa ya wanaume wamekuwa wakihaha kusaka mawasiliano naye huku kila mmoja akijinadi kivyake.
Mwanamitindo Jokate Mwegelo.
Mara baada ya habari ya Jokate ya kutafuta mchumba kutoka kwenye gazeti hili wiki iliyopita, namba ya simu ya chumba chetu cha habari imekuwa bize kupokea simu za wanaume mbalimbali wakiomba kuunganishwa na mrembo huyo.
Hata hivyo, jitihada za kumuunganisha mmoja mmoja kwa mrembo huyo hazikufanyika ila kwa yoyote anayehisi ana vigezo na ana nia ya dhati ya kumuoa na si kumchezea afike katika ofisi zetu nasi tutamuelekeza njia sahihi ya kumpata.


TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO

Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ amekutwa na mauzauza baada ya kupokea simu yenye namba zinazodaiwa kuwa za ajabu na kumsababishia atokwe damu puani, mdomoni na kupooza upande mmoja.
Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ akiwa katika Hospitali ya Palestina.
Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo ambacho kilikuwa ndani ya Hospitali ya Palestina ambako Tunda Man alilazwa, kimeeleza kuwa, tukio hilo lilitokea mwanzoni mwa wiki hii wakati staa huyo akifuturu.
“Alipigiwa na namba f’lani hivi ya ajabuajabu inayoishia na 39 kama mara 30 hivi, hakuipokea maana alishawahi kusikia juu ya namba za ajabu lakini baadaye akaamua kupokea ndipo ghafla akaanguka, akaanza kutokwa damu puani kisha kuzimia kabisa,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
“Tulimfikisha Hosptali ya Palestina na hali yake ilikuwa mbaya sana lakini kwa jitihada za madaktari na manesi wamemsaidia kwa sasa kidogo anaendelea vizuri.”
Khalid Ramadhan ’Tunda Man’.
Baada ya kupata taarifa hiyo, Ijumaa lilimtafuta Tunda Man ili kutaka kujua undani wa sakata hilo, alipopatikana alifunguka:
“Nakumbuka nilipokea simu yenye namba nisizozifahamu ambayo iliita sana nikajishtukia kuipokea lakini baadaye nikahisi ni kama namba za nje ya nchi labda ni dili la kwenda kufanya shoo, nilivyopokea tu sikuwa nasikia mtu akiongea zaidi ya kusikia mtu kama vile anapuliza kitu.
“Baada ya hapo nikajiona naishiwa nguvu, damu zikinitoka puani na mdomoni kisha nikajikuta nipo Hospitali ya Palestina,” alisema Tunda Man.


PATI YA KOGODORO NOMAAAAA!

#Lol this so embarrassing,jut look yourself to this picture the guy decided to suck her live live.... is it sound good ?? #lol this so embarrassing,jut look yourself to this picture the guy decided to suck her


Twitter Delicious Facebook Digg Favorites More