Askari
wa usalama barabarani wakipima ajali iliyotokea leo jioni eneo la Igoma
jijini Mwanza na kusababisha kifo cha mtu mmoja ambaye anatajwa kuwa ni
abiria ambaye alikuwa amembeba dereva wa pikipiki iliyopata ajali yenye
namba za usajili T988 BDW ambapo dereva wake (ambaye ndiye mmiliki
aliyekuwa amepakizwa) alikimbia mara baada ya ajali hiyo kutokea,
inasemekana kuwa pikipiki hiyo iliyokuwa kwenye mwendo kasi iligonga kwa
nyuma basi la abiria aina ya daladala lenye namba za usajili T768ASA
lililosimama ghafla mbele ya pikipiki hiyo kwa ajili ya kupakia abiria. |