Baada ya ukimya wa muda mrefu sasa Agnes Masogange inaelekea alimiss sana kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii. Kudhihirisha hilo ameamua kutupia picha katika mtandao wa instagram akiwa na mpenzi wake wakiwa wanafanya mambo ya kikubwa.JAMANI USTAARABU GANI HUU!!!! kama sio kutaka kuandikwa na WAPEKUZI wa udaku katika vyombo vyao vya habari!!!! Ushauri wabure kwake, afanye kitu cha manufaa, aandikwe kwa mazuri na sio huu upuuzi anaofanya....naamini akifanya jambo jema pia ataandikwa, na huo ndio umaarufu mzuri, sio kuachia picha za uchi uchi na za ngono.