MUUAJI ALICHIMBA KABURI SEBULENI, AKAMBEBA MTOTO AKIWA AMELALA NA KUMFUKIA
Mkasa wa baba anayedaiwa kumuua mwanaye wa miaka 3, Debora
Riziki kwa kumzika akiwa hai kutokana na mgogoro wa kindoa na mkewe,
unaendelea kuzua mapya kufuatia mama mzazi wa mtoto huyo kusimulia A-Z
ya kilichotokea, Amani lina habari ya kipekee ya kukutoa machozi.
Akisimulia
kwa majonzi mazito kwenye kijiji lilipotokea tukio hilo hivi karibuni,
Ibula Kata ya Kiwira, wilayani Rungwe, mama mzazi wa Marehemu Debora,
Esther Mwambenja alidai kuwa kabla ya tukio hilo kulikuwa na viashiria
kwa mumewe kutimiza ukatili huo....
KUSOMA HABARI HII NA NYINGINE ZA GAZETI HILI BOFYA HAPA
MTOTO ALIVYOZIKWA AKIWA HAI....!!!!

