HILI NDILO JERAHA ALILO LIPATA SHEHE PONDA BAADA YA KUPIGWA NA RISASI ANGALIA PICHA



KATIBU WA JUMUIYA ZA KIISLAMU TANZANIA  SHEKHE ISSA PONDA NI KWELI HAPO JANA ALIPIGWA RISASI NA KWASASA YUPO HOSPITALI YA  RUFAA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI NA SI KWELI KAMA YUPO CHINI YA ULINZI WA POLISI KAMA  SMS MBALIMBALI KUPITIA SIMU ZA VIGANJANI ZINAVYOSAMBAZWA.PIA JUMUIYA NA TAASISI YA KIISLAMU TANZANIA LEO BAADA YA SWALA YA ALASIRI KATIKA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI ILITARAJIWA KUTOA  TAMKO KUHUSIANA NA TUKIO HILO.
SHEKHE ISSA PONDA AKIUGUZWA MUHIMBILI
SEHEMU ALIYOJERUHIWA  SHEKHE ISSA PONDA


Twitter Delicious Facebook Digg Favorites More