KUMPIGA PICHA ZA UCHI MCHUMBA WAKO NI SAHIHI?


Wadau poleni na kazi za leo,ok
Kuna kitu huwa najiuliza sipati majibu ya kuridhisha,Hivi kama una mchumba unaetarajia kumuoa/kuoana unaweza kumpiga picha za uchi?au video za uchi? Mdada kama Mchumba wako anakupiga picha za uchi unajisikiaje ?
Nani sasaivi ameoa/ameolewa na alimpiga mke wake picha za uchi enzi ya uchumba?


Twitter Delicious Facebook Digg Favorites More