
Wivu
noma sana , Dada mmoja huko Mbezi amelitia Kiberiti Gari la mpenzi wake
aina ya Range Rover Jipyaaa Baada ya kukuta Condom iliyotumika kwenye
gari hilo , Mashahidi wanasema wakati analiwasha moto alikuwa akisema
kuwa hilo gari ndio linakutia kiburi mpaka kutembea na wanawake zako
ndani ya gari , tuone sasa ukitaka katembee nao vichakani....
Whats your tak