Taarifa ya picha na video kutoka kwa Imma blogu ya “Matukio”
anatufahamisha na kuwatoa mashaka waliokuwa na wasiwasi kuhusu uhai wa
Sheikh Ponda Issa Ponda kuwa sasa yupo katika hospitali ya Muhimbili
kitengo cha mifupa, MOI, ambako amepokelewa mchana wa leo kwa ajili ya
matibabu zaidi.
Tamko la Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi, CUF, Bw. Julius Mtatiro kuhusiana na tukio la kujeruhiwa Sheikh Ponda limepachikwa hapo chini baada ya video.
TAARIFA KUTOKA MSIKITI WA MTAMBANI LEO KUELEZEA HALI YA SHEIKH PONDA
Amir Kundecha Bismillahir Rahmanir Rahiim TAARIFA Taarifa rasmi kuhusu hali ya Sheikh Issa Ponda itatolewa leo (Jumapili) Al'asiri msikiti wa mtambani, jijini Dar-es-salaam. Pamoja na taarifa hiyo, Amiri wa Baraza Kuu, Sheikh Mussa Kundecha atazungumza na vyombo vya habari Insha-Allah muda na mahali hapo hapo.
Wabillah Taufiiq
11 Agosti, 2013