skip to main |
skip to sidebar

10:03 AM

Anonymous
Kufuatia madai mbalimbali juu ya
Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya china na wengi kumhisi ni
Jack Clief,Msanii Linex ambaye amefanya video na msichana huyu video ya
wimbo wake wa Kimugina hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa
facebook