skip to main |
skip to sidebar
1:22 AM
Anonymous
Nimeishi na mume wangu mwaka wa tatu
sasa, amekua akipiga kazi mpaka nafurahi, ananifiki kilele hata mara nne
kwa siku moja, lakini sasa hivi ni wiki ya tatu hasimamishi yani mpaka
hata yeye mwenyewe anakosa amani kabisa, najaribu kumtega kwa kila mikao
na visa visa vywa kimahaba lakini imeshindikana. Naombeni ushauri
jamani kama kuna namna nikamsaidia mume wangu, nampenda sana, sitaki
kumsaliti.