RAHA YA KUWA MWANAMKE NI KUTONGOZWA BABU EEEH!



Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?

Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?

Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,

Lakini napenda tu nipate jibu la jumla,

Jamani huwa mnajisikiaje?


Twitter Delicious Facebook Digg Favorites More