Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikabidhi Mipira kwa Ridhiwan B.Makame,wa Kaskazini A Unguja,wakati alipozindua mradi wa “ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRICA”,mradi wa Ugawaji wa mipira kwa vikundi mbali mbali vya vijana katika kukuza vipaji vya Mpira wa Miguu hapa Nchini
uliofadhiliwa na Shirika hilo chini ya usimamizi wa Mwakilishi wake Sandra Cress,(wa pili kulia) sherehe hizo zilifanyika jana katika Uwanja wa Amaan Studium,katika kuadhimisha Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUA MRADI WA ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRICA

