Vijana wa Bodaboda ambao wajina yao hayakuweza kufahamika mara moja Wakiwa katika Mkwaruzano mzito wa wenyewe kwa wenyewe ambapo chanzo cha mkwaruzano huo haukuweza kufahamika kwa haraka huku ukipelekea vijana hao kutaka kutwangana makonde haswa katika barabara ya Morogoro njia panda ya kwenda mabibo.