Msanii anayefanya sanaa ya Uwigizaji hapa Nchini maarufu kwa jina la
Wema Isaack Sepetu inasadikika kuwa hakuonekena kwenya Mazishi ya
marehemu Juma Issa Kilowoko au maarufu kama Sajuki yaliyo fanyika katika
makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam siku ya tarehe 4 Januari
mwaka huu.
WEMA SEPETU AKIWA NA MENEJA WAKE...
Tukio hilo lilizua minong'ono kutoka kwa
"SIKUHUDHURIA MAZISHI YA SAJUKI KWA SABABU NILIKUWA BIZE STUDIO NIKIREKODI WIMBO WANGU"….WEMA SEPETU

