Jana Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner G Habash walianza safari yao
ya kuupanda mlima Kilimanjaro kwa kupitia njia ya Marangu.Safari hiyo ya
siku sita inaongozwa na kampuni ‘Kilidove Tours and Safaris Ltd’ ya
Arusha.
Wengine wanaoongozana nao ni mpiga picha wake Justin Bayo.
Picha ya pamoja.
Lady Jaydee akisalimiana na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya KINAPA Erastus Lufungilo kabla ya kuanza safari.
Lady akiwa kweye ofisi ya Mhifadhi mkuu wa KINAPA .
Wakijiandaa na safari
Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner.
Jide na mpiga picha wake.
LADY JAYDEE NA MUME WAKE WAENDELEA VYEMA NA SAFARI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO....

