Inasemekana kuwa wasanii wa Bongo Movies wana ‘aleji’ na kujisitiri miili yao, baada ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, safari hii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameanika sehemu zake za siri kweupe.
Zuwena Mohamed
‘Shilole’ akiwa ameanika sehemu zake za siri.
Shilole ambaye kwa sasa amegeukia muziki
wa mduara, akiwa jukwaani anaonekana kuwa hajali kabisa stara wala heshima.
Shilole amekuwa na kawaida ya kujiachia kihasarahasara hasa anapokuwa kwenye shoo na bendi yake.
Shilole amekuwa na kawaida ya kujiachia kihasarahasara hasa anapokuwa kwenye shoo na bendi yake.
Mdau wa filamu Jumanne Athuman, mkazi wa Magomeni
jijini Dar es Salaam, alisema amekerwa sana na kitendo cha Shilole kukaa hovyo
jukwaani kwani anajidhalilisha mbele ya jamii ambayo itajitizama kupitia kwake.
“Huyu Shilole hana heshima kabisa, juzi tu nilisoma kwenye gazeti akiwakashfu Wema na Aunt eti ndiyo tatizo Bongo Movies, mbona naye huwa anajiachia hovyo?
“Huyu Shilole hana heshima kabisa, juzi tu nilisoma kwenye gazeti akiwakashfu Wema na Aunt eti ndiyo tatizo Bongo Movies, mbona naye huwa anajiachia hovyo?