Muimbaji wa R&B Trey Songz ameibuka na kukanusha kuwa si yeye
aliyepiga picha iliyoenea mtandaoni akiwa anambusu mwanaume mwenzake.
Trey amekuwa akizushiwa kuwa shoga kwa muda mrefu lakini picha hiyo imewafanya wengi waamini kuwa ni kweli sio riziki.
Picha hiyo inaonekana ilichukuwa kwenye siti ya nyuma ya gari ikionesha mtu anayefanana na Trey akimbusu mwanaume.
TREY SONGZ AIKATAA PICHA INAYOMWONESHA AKIMBUSU MWANAUME MWENZAKE

