Jeshi la polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar es salaam
limeyafunga madanguro yaliyopo Mwananyamala na kuwakamata Akinadada 35
waliokuwa wakiuza miili yao pamoja na mama wa miaka 72 ambae anadaiwa
kuwa ndie mmiliki wa madanguro hayo.
MADANGURO YA MWANANYAMALA YAFUNGWA NA JESHI LA POLISI.

