WEKUNDU WA MSIMBAZI WAKIJIFUA NCHINI OMAN

 Makocha wa Simba, Patrick Liewig (kulia aliyesimama) na Moses Basena wakiwaongoza wachezaji katika mazoezi.
 .Simba SC wakijadili jambo kwa pamoja wakati wa mazoezi hayo.

Baadhi ya wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini nchini Oman kujiandaa na ngwe ya lala salama ya Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa.
 ...Mazoezi yakiendelea.
 Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Liewig.
 Kiggi Makasi akiwa mazoezini.
Simba SC wakiwa gym.


Twitter Delicious Facebook Digg Favorites More