skip to main |
skip to sidebar

9:58 PM

Anonymous
Hii sasa ishakuwa kero! Nicki rapa
maarufu nae ameweka picha za utupu kwenye instagram. Aliamua makusudi
kujionyesha mwili wake akiwa hajavaa akitumia mikia ya nywele zake
kuziba maeneo ya kwenye matiti. Hiviiii,hii ndo fashion mpya mjini
au?!!!!