Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ (kulia) akimfunda msanii mwenzake, Halima Yahya ‘Davina’ (kushoto).
Tukio hilo lilichukua nafasi kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Zuena
Mohammed ‘Shilole’ iliyofanyika Kinondoni jijini Dar ambapo mwishoni mwa
sherehe hiyo, Anti Lulu alimuweka chini Davina na kumpa maneno
yatakayomsaidia kuidumisha ndoa yake.
ANTI LULU AMFUNDA DAVINA.

