Haya
ni maoni ya CHADEMA yaliyo tolewa mbele ya tume ya mabadiliko ya
katiba,kuwa umri wa kugombea kiti cha Urais uwe miaka 18.......
Jambo hilo wamelijadili kwa kina ndani ya gazeti hili..... watanzania wenzetu tuna mtazamo gani juu ya hili ....?
CHADEMA WATAKA UMRI WA RAIS UWE MIAKA 18

