Joyceline akiwapungia mkono mashabiki baada ya kutangazwa mshindi.
Joycelne (wa pili kushoto) akipongezwa na mshiriki mwanzake.
Washiriki wakipita jukwaani katika vazi la ufukweni.
Warembo wakiwa mbele ya kamera.
Mrembo ‘akiuza’ sura.
Mrembo akionyesha alivyojaliwa urembo.
MTANZANIA JOYCELYNE AIBUKA MSHINDI MISS EAST AFRICA

